Ruka hadi kwenye maudhui makuu

MOST WATCHED VIDEO

MAHUSIANO KATIKA MAENEO YA KAZI

Mapenzi: Kwa nini kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini mara nyingi huwa hakuepukiki? Mambo yanayo changia kuanzishwa Kwa mahusiano kazini 1)kumtumia mfanyakazi mwenzako emoji za kihisia. Kutokana na ukaribu uliopo ofisini Kwa wafanyakazi wanapata nafasi ya kutaniiana Kwa njia mbalimbaliikiwemo kutumiana emoji kwenye simu ,kompyuta. Licha ya hayo, wafanyakazi wamepata njia ya kuendelea kutaniiana na wenzao, jambo ambalo linaonesha kutoepukika kwa mahusiano ya mapenzi ofisini au mahali pa kazi. Februari 2022 data kutoka Jumuiya ya Marekani ya Usimamizi wa Rasilimali Watu (SHRM) inapendekeza mahusiano ya mapenzi ya mahali pa kazi yanaweza kuongezeka hata wakati wa kufanya kazi nyumbani. Theluthi moja ya waliohojiwa kati ya 550 walijibu kwamba walianza uhusiano na wenzao wakati walipo anza kazi katika kampuni hilo. Mahali pa kazi ni msingi mzuri wa mapenzi na mapenzi ya muda mfupi, ilhali kampuni nyingi hazipendi mahusiano ya kimapenzi kazini . Wataalamu wanasema kuna sababu maalum ambazo...

WANA MITINDO WASHAURIWA KUPIMA AFYA NA KULA VYAKULA VYA KUJENGA MWILI


    Kutokana na Ufaransa kuanza kutekeleza sheria inayo pinga wanamitindo wembamba wasio na afya kushiriki katika mashindano mbalimbali ya wanamitindo.
         
               



 Madaktari na watalam mbalimbali wamewahasa wanamitindo kuwa na kawaida ya kupima Afya zao na kuzingatia kanuni za chakula.
 Kutokana na mswada 2015 ulio ungwa mkono na wabunge wengi wa Ufaransa una warusu madaktari kuamua ikiwa mwana mitindo ni mwembamba mno kulingana na umri wake na uzito wake kuweza kushiriki


                               




    Mwili unaitaji matunzo na mazoezi tuzingatie kula vizuri ili kuweza kujenga mwili na kuwa na nguvu






















Maoni

Machapisho Maarufu